Bongo Flava Battle: Rayvanny vs Marioo

Sasa wewe upo wapi? Maana me nilisema Vann yupo mbali ukaleta story ya style ya uimbaji. Wewe sema nani zaidi unless mleta mada awe specific kuwa battle hiyo ni katika kipengele gani? Kama ni uandishi, style, sauti, mashabiki, n.k ili twende nae sambamba
 
Reactions: Qwy
Mondi vp hajawai copy au sio
Ana copy sikatai ila ana namna yake ya uimbaji kiasi kwamba ukimsikia tu hata kwenye radio utafahamu kuwa ni diamond, harmonize kipindi ndo anatoka na nyimbo yake ya aiyola kabla ya kuona video binafsi nilidhani ni diamond .. kwa kifupi harmonize hana identity ya mziki wake mwenyewe ..
 
Ishu sio kitoto cha juzi..ishu ni talent na product nzuri..Usipaniki.
Sijaona talent kwa marioo, bado sana. Tena sana. Sishangai bongo kuwa na hizi battle za kishamba. Msanii mkubwa kulinganishwa na wadogo ili kumshushA. Wakati flani Aslay aliwahi linganishwa na Diamond, walipochemka wakaanza Marioo napo wakachemka. Ikabidi waendelee na Kiba ambaye ndio kabisa alichemka
 
At least uzi umeanza kwenda kwa facts, ulianza kiushabiki bila facts zozote. Eti huyu anajua ooh huyu fundi, specifications ziwe wazi kama ni uandishi wa mashairi, sauti na vitu vya aina hizo.
Mafanikio yao yasizungumzwe kwani huko hawastahili kabisa kushindanishwa.
My take, wote wana sauti nzuri lakini styles zao ni tofauti kabisa, nilikutana na blog moja ya Kenya ikiwashindanisha Rayvanny na Diamond kwa sweet melodies kisa kikiwa ni hizi nyimbo zao latest zinazofuatana neck to neck kwenye trending na comments zilikuwa almost fifty fifty lakini Vany akimzidi kiasi bosi wake ila nikaelewa kwa kuwa Diamond ana haters wengi hivyo wengine comments zao zilikuwa kiushabiki. It's easy to tell comments zikikaa kishabiki.
 
Sisi tunasema Marioo anajua kuliko Rayvanny...yaani ana muziki mzuri.

Wewe baki na Rayvanny..it's simple.
 
Mario zaid
 
Angebebwa kama akina Ray, Mario angekuwa tishio kubwa kwa Dai vilevile

Yule Dogo mario kiukweli anajua maana hata ukisikiliza amapiano alizoimba yaani ile mama amina na hii beer tamu unamuelewa anaimba nini sio beat za kelele kama za akina harmo, baba levo au diamond Dogo anajitahidi sana ningependa watanzania wasupport watu kama mario ili game ibalance mambo ya uteam ndio yaliua muziki wa congo kutoka kua muziki wa bara zima hadi umebaki kua muziki wao peke yao
 
Kula like kwanza.
 
Marioo ni mbunifu zaidi
Akipata support nzuri he will be the next king of bongo flavour
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…