Bongo Flava Battle: Rayvanny vs Marioo

[emoji666][emoji666][emoji666]
KWANI NI LAZIMA TUBISHANE ???

[emoji117]KILA MTU NA AKIPENDACHO.

[emoji666]YAANI KIPENDA ROHO.

[emoji117]HUWEZI KUMWELEWESHA NYANI KUWA ASALI NI TAMU KUZIDI NDIZI.

NB: CHUKI HAZIJENGI [emoji117] UNACHOKIPENDA WW CYO LZM NA MM NIKIPENDE[emoji120]
 
Akijua atasapotiwa tu ila bado underground na hao wanaomshinasha wanamtafutia haters kinguvu na akiungia mkenge huo hatofika kokote, apige style ya kukimbiza mwizi kimyakimya watakuja kustuka ameshafika juu.
Rayvanny hakuwahi kuwa kwenye 'bifu' wala mashindano na msanii yoyote na watu hawakuwa wakibaini jinsi namba zake zinavyokimbiza hasa kwenye mauzo ya digital platforms, issue ya Paula/Kajala ndiyo ikazaa bifu na watu wamekuja kustuka kumbe kwenye digital platforms kwa Bongo ndiye yuko namba mbili nyuma Diamond. Kuwa silent sniper unapaa kimyakimya bila mikwaruzo.
 
Fact.
Different people different tests.
 
Safi na Wasafi haibabaiki na mende ni chapa raba, wivu wa kijima watasoma namba daima
 
Marioo ndo underground?..Aisee

Rayvanny na kwaya zake zile ajifunze kwa Marioo kupika muziki mzuri.
 
Marioo ndo underground?..Aisee

Rayvanny na kwaya zake zile ajifunze kwa Marioo kupika muziki mzuri.
Marioo ni underground ndiyo, hii inanikumbusha boost aliyokuwa akipewa Aslay kwamba amemfunika Diamond lakini kelele bila uhalisia mwisho wa siku ukweli hujidhihirisha wenyewe. Hizi comments ziwekwe kama kumbukumbu lakini baadaye mtu asije na cheap excuses mmoja atakapoishiwa pumzi kwenye hii race.
Kupenda test flani ya uimbaji ni haki ya kila mtu lakini achievements huwa haziji bila watu kuupenda muziki wa muhusika, ukiona muziki unapendwa na watu wengi hata kama wewe hauupendi ujue kuna kitu hapo hata kama siyo your kind of flavor.
Kwangu mwanamuziki anatoka kwenye kuwa underground akishakuwa na levels flani za mafanikio si kwa kelele za wanaomshabikia.
 
Msimfananishe Mario na hiyo takataka
 
We hata mavi ikiwa WCB utaisifia kwamba hainuki
 
Diamond anaingiaje hapa?
Rayvanny ni msanii wa kawaida kuliko marioo huo ndio ukweli,
Tusubiri muda upi huo marioo ana mwaka wa ngapi anafanya muziki na tena hana management inayoeleweka anajisimamia mwenyewe tofauti na huyo mwengine anafanyiwa kila kitu na kina sallam.. Na bado kila siku anatoa maboko.

Utawaaminisha chawa wenzio tu sisi tunaojua muziki tunaona marioo ni bora na wala hawezi akapotea tayari ni msanii mkubwa, mlisema harmonize hatomaliza mwaka, kiko wapi?
 
Kumwita Marioo underground ni kuonyesha kiasi gani wewe ni wcb lialia..

Sasa na sisi tunasema Rayvanny na zile kwaya zake hamfikii huyo underground Marioo kwa muziki mzuri.
 
Marioo yupo vizuri
Ila hawez kumfikia rayvanny
 
Marioo ndo underground?..Aisee

Rayvanny na kwaya zake zile ajifunze kwa Marioo kupika muziki mzuri.
Muziki mzuri ni upi?
Mkuu unatakiwa kuelewa, kila mtu anatoa ngoma ile itakayokubalika na wengi. Huyo marioo bado hajakubalika na ndio maana hawezi pata management nzuri.

Akiimba vizuri, watu watakuja kuwekeza kwake lakini haya maneno yenu ya kumshindanisha ndio atachemka kabisa kama hata kuwa makini.

Kama bado mnaimani ipo siku Marioo atampindua Vann, tuendelee kusubiri. Lakini tunaweza peana muda pia ili ukifika turudi kuulizana. Maana sisi watz tunashindwa kuelewa kuwa muziki mzuri ndio unauzika.
 
Wanaosema rayvanny anaimba kwaya, kwan marioo naye kuimba anaona nn?
Marioo mwenyewe kakomaa na nyimbo za vilio, c aanzishe kikundi cha kufa na kuzikana wawe wanamwalika misibani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…