Bongo Flava Battle: Rayvanny vs Marioo

Huwa watu kama wewe ninawapa sindano za uchungu haijalishi utaumia au lah it's not my business..

Mimi na wewe nani analazimisha kama sio wewe ulianza kwa kina Damian wamekwambia unawabishia..

Haya mataputapu unayoandika ndio kudai una akili ni bora watu tuwe wajinga kuliko kuwa na akili kama zako .

Mimi nasema rayvanny hana muziki mzuri kama marioo hutaki meza wembe..
Usilazimishe..
 
Hizo siyo nyimbo ni kelele zinazoumiza masikio
Kumbe unazifahamu? Mi nikajua huzijui kabisa... Sa uliwezaje kusikiliza makelele?
Unajitahid sana kucheka wakat unajitekenya mwenyewe... Pambana sana mkuu ili utoe kicheko cha nguvu
 
Nami nasema hii mbege iliyochacha kunywa mwenyewe... Mario hana mziki wa kueleweka km hutak tafuta kakichaka kazuri mi nikuletee kamba ya mbuzi wa mwenyekiti wa kijiji ujitundike
 
Reactions: Qwy
Atasubiri sana, si leo wala kesho.
 
Rayvanny anyday. Marioo mfananishe na Mbosso au Aslay
 
Acheni zenu Raymond ni mnyama sana. Hicho kitoto cha juzi ndio mkipambanishe na CHUI? Siyo shabaki wa yeyote kati yao but Rayvann kampita mbali sana huyo marioo kwa kila kitu.
Ray vanny anaimba ila hamkutii marioo ni level lingine
 
Kwanza,hao wote wanaimba aina ya mziki wa aina moja hususani RNB..wote ni watunzi wazuri sana but rayvanny is more than mario.Pia waweza kuwafananisha kama JUX na BENPOL
 
Kwanza,hao wote wanaimba aina ya mziki wa aina moja hususani RNB..wote ni watunzi wazuri sana but rayvanny is more than mario.Pia waweza kuwafananisha kama JUX na BENPOL
Hiv r&b mnazijua kwel?? Zile za kina mario na Ray van ndio rnb kwel??
Aisee nikikaa kusikiliza mavitu ya akina KC & JOJO au akina Rkelly halaf nalinganisha na hiz rnb zenu aisee mbona inachekesha sana...au rnb maana yake ni nin labda...? Usikute mimk ndio sijui
 

Hawajui kutofautisha kati ya RNB na Zouk
 
Nafkiri leo mmeona ukubwa wa marioo kwenye simba Day..
Kuna tahira mmoja likasema eti marioo ni underground..!

Angeitwa mnyakyusa angeimba nini na kumuamsha nani? Eti "wanaweweseka"πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Qwy we chawa umesikia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…