Hello, I would like to know if our musicians/artists are aware of sales of their work "Bongo flavour mp3" on Amazon. If yes, can they track the sales volume?
e bwana hii kali hata mimi nimeangalia nimekuta hizi zipo ila nafikiri wanajua hichi kitu maana amazon sidhani kama huwa wanauza bidhaa bila kumshirikisha mhusika. kama itakuwa changa la moto basi wameumia??