Bongo fleva na watoto wetu

Endangered

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
922
Reaction score
228
Habari wadau, jpili imekwendaje?
Anyway jana jmos nilikuwa naskiza Radio One kipindi cha watoto.
Kama kawaida moderator naye ni mtoto. Ikawa kipindi cha methali, katoto kamoja kakapiga.
Methali Methali.
Wote wakamjibu, 'methaliii'.
Then akanimaliza kabisa alipouliza, 'LA KUCHUMPA?'
Na hapo wote wakamjibu bila hata kunyoosha mikono.
Moderator pamoja na kwamba alikuwa mkali kidogo hapo alichoka!
Nikabaki najiuliza, hizi bongo fleva zinapeleka wapi jamii yetu? Labda mwenzangu una jibu aisee.
 
kwani lakuchumpa hilo neno wakati u kijana au mtoto hujawah kulitumia?
 
aaah kumbe hapo ni kuomba mungu tu hakinusuru hiki kazazi vinginevyo tukishangaa ya lulu yatakuja ya mikogo..

Hapo umenena mkuu. Kuna mengine hata bado hayajulikani. Lakini muda ndo utasema ni yapi hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…