Hahaa we jamaa umenikumbusha mbali. yule msanii kichaa sana. Nimejikuta namkumbuka na msanii mmoja anaitwa Pig Black alikuwa na ngoma moja hatari sana.Yule afande mwenzangu wakamuuliza,
Umekuja peke yako au umekuja na mukaka wako,
Na wale wafungwa wengine wakawa wanashangilia mwali mwali mwali,
.....................................
Sijui nirudi chijijini,
Mimi sio polisi tena,
(Nimesahau mistari ya yule jamaa)
Mac D ..Mack d. Jumba bovu
Kwanza Unit!!!From
...NAULIZIA HUKO WAPI NINAKOKWENDAAA, SIJUII LINI NITAFIKAAAAAA...........!
to
.WAPO....! MASHOGA WAPO, WASAGAJI WAPO....!
This is pathetic.
Bonge la dude-Bonge la ngoma.Dingi by mandojo na domokaya...bonge la stori
Wimbo wa "Huna Jipya" niliupenda, hakika yupo vyema P the MC.Msikilize P the MC. Ni story teller. Full potential.
Safi sana!!!Elimu mitaani dot com mnaionaje? D KNOB
Ktk album hiyo hiyo kuna track moja story moja imeanzia posta mpaka bom bronx. Nayo noma. "Kweli siku hazifanani, miti itateleza tu siku hakifa nyani"Wimbo wa "Huna Jipya" niliupenda, hakika yupo vyema P the MC.
My hit song kutoka kwa hawa jamaaDingi by mandojo na domokaya...bonge la stori
"Kuanzia Leo Mimi sio Polisi tena"Yule afande mwenzangu wakamuuliza,
Umekuja peke yako au umekuja na mukaka wako,
Na wale wafungwa wengine wakawa wanashangilia mwali mwali mwali,
.....................................
Sijui nirudi chijijini,
Mimi sio polisi tena,
(Nimesahau mistari ya yule jamaa)
Hovyo kabisa!yaani nyimbo za Siku hizi hovyoo
Kwenye makundi ambayo niliwahi kuyakubali ni hawa solid ground family.Athuman-solid ground
jerry -solid ground
Baba jeni-solid ground
Jerry chorus
Kichaaa kimepanda(jerry)
baada ya kuvuta mineli..
wengi walidhani kalogwa na jirani...
kumbe mibange imempanda kichwani...
Baba jeni chorus
Baba jeni alipopata mafao
tabia tabia ikabadilika
na Sasa yamekumkuta
anabaki anajuta..
muziki wa Zamani mtamu sanaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] si humo humo kwa dada zao.likeWatu wenywe skuhiz,wanashindia
Chips yai plus kushera
Vipodoz na dada zao unafkir
Story watapata wap
Chemsha bongo- Prof JizooDaah umenikumbusha mbali
Ndio mzee - Prof jay
Kikao cha dharula - Prof Jay
Nang'atuka Prof Jay
Si uliniambia - Mb Dog
Latifa - Mb Dog
Mapenzi kitu gani? - Mb Dog
Radhia - Doro ft sir. Nature
Zali la mentali - Prof. Jay
Sitaki demu - Sir. Nature
Inaniuma sana - Sir. Nature
Natamani - Q jay
Sifai - Q jay