Bongo Fleva yapata Mashiko katika Elimu ya Uzamivu nchini Tanzania

Bongo Fleva yapata Mashiko katika Elimu ya Uzamivu nchini Tanzania

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
25,225
Reaction score
25,488
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimemtunukia/patia shahada ya uzamivu ya kiswahili (PhD in Kiswahili) ndugu Method Samwel, kwa sasa anaitwa Dkt. Method Samwel.

Dkt. Method Swamel ameweka rekodi kwa kuwa mwanafunzi wa kwanza kuwahi kupata shahada ya uzamivu ya kiswahili ndani ya miaka miwili tena kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam.

Tasnifu/Thesis yake: Mabadiliko ya majigambo: Uchunguzi wa majigambo ya Jadi na ya Bongo Fleva.

Amesimamiwa na: Prof. M.M.Mulokozi na Dkt S.Omari

HONGERA SANA Dkt. Method Samwel

Source: Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (2012), " Orodha ya wahitimu wa Digrii za Uzamivu na Uzamili, na Stashahada za Uzamili", Mahafali ya Arobani na Mbili ya Tarehe 27/10/2012, TATAKI, Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Dar es Salaam, Tanzania, ukurasa wa 14.
 
Dkt samwel method anajua sana na anastahili shahada hio.. Hongera sana mhadhili wangu
 
Back
Top Bottom