mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Hawa vijana wa Bongo Fm sijajua ama Kwa kusahau ama Kwa kuona si muhimu wamerusha taarifa hii Kwa kuweka kipande tuu Cha maneno ya Mh waziri Mkuu. Najiuliza sana kipi kinawatisha kumtaja aliyetoa VAR?