Bongo hii kali,Elimu ya Diploma anakuwa waziri,Kadegree 1,ka2,ka 3 no job,?

Mzee Wa Rubisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,757
Reaction score
442
Hivi wizara ya elimu inamakosa gani.?
Mbona manaibu waziri wa serikali hii elimu yao siyondogo lakini je wanao ueledi wa kusimama mbele ya tendaji wa wizara hiyo waliyobobea katika elimu.
Naanza kuhisi kitu,Matokeo mabaya je ni tatizo la siasa zetu.?
Mh.Mulungo aliambia anayo cv ya kuunga na kutumia jina la mtu.
Mh.Muhagama elimu yake ya Juuu ni DIP.ongera mama Jenister.
Kwa elimu yangu mama huyu naibu waziri wa elimu kuja kuifikia itamchukua miaka 6 bila kupata Sup.
Tufike wakati kila wizara kuangalia watu wenyekaliba nayo.
Mfano.Mh Magufuri fani yake na wizara yake anaonekana.
Mh,Nchemba yeye nimchumi sina shaka naye nisijue atafanya nini.
Najua nigumu sana kupata watu kwa kila idara
Rais wetu hii siyo nzuri
Tusubiri matokeo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…