Bongo hii kuna vijana wanatamani ndugu, wazazi, wafe, ili warithi mali

Bongo hii kuna vijana wanatamani ndugu, wazazi, wafe, ili warithi mali

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Vipi ulishawahi ona hili? Mi nimeona Mara nyingi sana.
 
Duh hatari sana wanashindwa kupambana na wao wapate vya kwao wanaanza kutolea macho vya wazazi!!
 
Back
Top Bottom