Kwa mujibu wa mkurugezi wa makosa ya jinai aka DCI serikali ina mpango wa kuanzisha kitendo cha kuzuia na kudeal na CYBERTERRORISM. hayoyalibainishwa na mkurugenzi huyo alipokuwa akizungumzia suala la raia wawili wa Bulgaria waliokamatwa kwa wizi wa kwenye ATM alisema " serikali ina mpango wa kuanzisha kitengo cha kuzuia na kushughulikia makosa ya CYBERTERRORISM"
Haya kwa wenye fani za CEF or CISSP kaeni mkao wa kupata kazi kwenye kitengo hicho nyeti serikalini. Pengine kuanzishwa kwa kitengo hiki pia kiunatokana na msukumo wa sakata la zeutamu.
Kwa habari zaidi kuhusu CYBERTERRORISM tembelea link hii