Bongo kunakera!



,,,,,yaap MWIBA,hii ndo inatuponza,manake siku hizi hao wezi ndo wapo smart ile mbaya kuliko hao wateja halisi,kwa bongo sasa hivi USIMUAMINI mtu,ukicheka na NYANi utavuna MABUA mzee.
 
Mr. Price Nguo ya 150,000 yaani zaidi ya Rand 1000 (tena ya kike) du labda bongo, lakini in SA sidhani kama kuna nguo ya bei hiyo kwa Mr Price

Jamani alimaanisha nguo za thamani ya shilingi 150,000 si nguo moja
 

NAAM, hapa ndipo ulipo mzizi wa fitna: TANZANIA MTEJA SIO MFALME BALI MWENYE DUKA/BIASHARA/BUS, N.K. NA PIA WAHUDUMU WA KILA MAHALI (DUKANI, HOTELINI, OFISINI, SERIKALINI, na kadhawakadha. Hata ukiangalia risiti unayopewa ukinunua kitu dukani imeandikwa, "Item(s) cannot be returned or exchanged". Why not? Je, haki ya mnununzi iko wapi? Nami nina mifano mingi tu niliyonunua kitu fulani dukani lakini baada ya kufika nyumbani hakifanyi kazi - ni defective from the manufacturer. Ninaporudisha wanaionyesha hiyo ilani chini ya ya risiti.

DAWA ni kuunda CONSUMERS' ASSOCIATION ambayo itafuatilia Quality control "kwa wateja" (sio chombo cha Serikali) na masuala ya malalamiko ya watumiaji bidhaa na wateja pamoja na mapendekezo ya kuboresha bidhaa na mahusiano ya kati ya mteja na mwenye mali na mtoa huduma. JE, KUNA MDAU ANAJUA SHERIA INAYOHUSU HOJA HII?

_____________________________________________________________

KIATU CHANGU KIPANA LAKINI KINANIBANA
 


Shida itakuja pale WENYE DUKA/BIASHARA/BUS watakapo fisadi CONSUMERS' ASSOCIATION, safari ni ndefu sana!!
 
Dear angalia jiepushe na madada ili usijiingize kwenye matatizo kwani wakikumind halafu wewe unajifanya kutomind utaishia kuitiwa polisi, be carefull
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…