Kichankuli
JF-Expert Member
- Dec 18, 2008
- 887
- 190
Nakumbuka mwaka 1995 wakati tumeingia mwaka wa kwanza Chuo Kikuu cha Dar es salaam sehemu ya Mlimni, kulikuwa na Fresher mwenzetu aliyekuwa Kitivo cha Uhandisi; jamaa alikuwa (wa kabila la Kizaramo) alikuwa bonge la yoooo kwelikweli. Siku moja tukiwa kwenye makorido Ishomire mmoja akalipuka na kusema, nanukuu, "This is very strange, ama kweri erimu Tanzania imeshuka; mpaka Wazaramo wanajiunga na Chuo Chikuu!!!" mwisho wa kunukuu.
Kwa mtazamo wa huyu jamaa ni hatari!! Atakuwa alisemaje Mkwere kuwa rais??😱
Dark City, mkwere alikuwa rais mwaka huo wakati jamaa anaonge? Umeuona mwaka original thread?