Kajala ndo anawatungia nyimbo kina Wizkid, Rema, Burna Boy, Fire boy, Davido, Yo Maps na mastaa wengine wakubwa hapa Afrika. Hili ni jambo amelifanya siri kwa miaka mingi. Kama mnakumbuka wimbo wa African Queen wa 2face Idibia basi ule ulitungwa na Kajala.