Bongo move nusu yao ni hamunazo

Bongo move nusu yao ni hamunazo

Ngolewasima

Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
51
Reaction score
112
IMG-20180422-WA0107.jpeg
 
Sasa hapo si alizirai vidole vimejikunja hahaaaa. Niliacha kitambo kuangalia bongo movies
 
wanaigiza popote walipo ndio maana hawauzi kazi zao
 
Bongo move - bongo movie / filamu za wabongo / filamu za watanzania. / wanafilamu wa Tanzania. [emoji4] [emoji95] [emoji379]
 
Show off Kwa sanaaaa [emoji3][emoji23]
Unakuta Mtu eti hana kazi ya maana yenye kuweza kumpatia kipato cha uhakika Kwa kila mwezi (fixed income earners) lakini anataka kuishi maisha ya gharama ya mashindano [emoji108]
Saluni za gharama, Nguo za gharama, sehemu ya kutembea Kwa miguu au kupanda daladala lakini atapanda tax [emoji87][emoji87]
Wengi wao wamekuwa kam matapeli madeni kila halali!
Kwenye maswala ya maadili mema ndo balaaa!
Kwa Kweli hadi huruma !
 
Afadhali wale wa zamani wale wa kipindi cha mchezo wa "mambo hayo" [emoji108]
Wale walikuwa wakijiheshimi sana mfano akina Waridi, Aisha, Bishanga Bashaoga etc wale walikuwa na utulivu Mashallah !
Wale walikuwa hawajichubui wala kunywa Maji mengi!
 
Back
Top Bottom