Trial balance
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 202
- 160
Ben Paul kuna nyimbo zake zile za mwanzo kabisa zilinivutia sana zikanifanya nimpende sana kukicha ni maneno manenoTin white na ringo
Nini kimekuvutia kwa ringo mashavu yake na anavyoongea au ha ha haTin white na ringo
Tangulia mbele yangu bwana kanyoshe mapito siwezi kwa ufahamu wangu nataka Leo nishinde by ambwene nampenda sanaNini kimekuvutia kwa ringo mashavu yake na anavyoongea au ha ha ha
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
hawa nawakubali sana. hawana skendo na kiki za kijingaTin white na ringo