Bongo Movie Film maker ndani ya JF

Bongo Movie Film maker ndani ya JF

Cloud 112

Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
19
Reaction score
10
Salam wana JF,

Mimi ni mtayarishaji/Muongozaji na msanii wa filamu za Kibongo, nimejiunga hapa ili tushirikiane kwa pamoja katika kuendeleza tasnia yetu ya Bongo movie. Naomba ushirikiano wenu.

Cloud
issa musa.jpg
 
Salam wana JF,

Mimi ni mtayarishaji/Muongozaji na msanii wa filamu za Kibongo, nimejiunga hapa ili tushirikiane kwa pamoja katika kuendeleza tasnia yetu ya Bongo movie. Naomba ushirikiano wenu.

Cloud
View attachment 96614

Karibu sana ila humu hakuna usanii ni ukweli na uwazi tu.
 
Kwa wale waliokuwa wanauliza uliza mambo ya bongo movie,kipele kimepata mkunaji, bila shaka maswali na maoni yatachukuliwa na Issa Musa Cloud.
 
Asanteni sana kwa makarisho mazuri

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: Izz
Kawa verified? Au kuna msanii kaamua kutumia jina lake?
 
Salam wana JF,

Mimi ni mtayarishaji/Muongozaji na msanii wa filamu za Kibongo, nimejiunga hapa ili tushirikiane kwa pamoja katika kuendeleza tasnia yetu ya Bongo movie. Naomba ushirikiano wenu.

Cloud
View attachment 96614

karibu bwana cloud ila punguzeni mapenzi kwenye films zenu! inachosha sana waambie wenzako!
 
aisee karibu sana cloud karibu sana humu jamvini ila humu bwana inabidi uwe mvumilivu kweli maana kuna watu ni vichwa vibovu hasa lakini pia inaitaji uwe makini na kila unachozungumza maana watu wanajua kupambanua mambo ule usanii wa wasanii wengi humu haufai
 
Sawa tunashukuru kwa ushauri nitawakilisha

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Karibuuu,ila jitahidi kuvumilia yote humu,maana kuna machungu haswaa na utamu kidogo,cha muhimu ni uvumilivu kuna watu hawajali cha usanii wala ubunge umu,ukivulunda lazima utafute mlango wa kutokea
 
Kumbuka huku hakuna kuuza sura kama fb!. Hapa ni nondo tu.
 
Hahahahh shukran

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Karibu Cloud jisikie nyumbani,huku kuna vijineno vipya ndugu yangu!!Nondo,fact,source,mburula,kilaza,dhaifu nk, siyo mageni kiujumla ila kule Bongo5 si hakunaga tindo? Ah!karibu mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom