Bongo Movie Film maker ndani ya JF

Mkuu nitajitahidi kuwashawishi wajiunge. Wakati ukifika nao watakua hapa kama mimi

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums

Wasiliana na Mods ili uwe verified ili kama kuna mtu anataka kufanya biznes hasiwe na wasi wasi na wewe
 
Salam wana JF,

Mimi ni mtayarishaji/Muongozaji na msanii wa filamu za Kibongo, nimejiunga hapa ili tushirikiane kwa pamoja katika kuendeleza tasnia yetu ya Bongo movie. Naomba ushirikiano wenu.

Cloud
View attachment 96614
Invisible, naona na wewe ume like hii thread. Mnaonaje mki verify huyu member iwapo ni yeye kweli? Ni mtazamo tu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…