Moyibi
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 1,054
- 701
Nimebahatika kucheki movie kibao Sana za kibongo... Kwanini katika movie zenu lazma kuwe na haka ka scene ka kuonesha B.O.T ... Why always B.O.T na movie zenu haziwezi kukamilika bila kuonesha hilo jengo la B.OT !???
Kama kuna umuhimu au ulazima bhasi muoneshe hata mount Kilimanjaro.... Ziwa Victoria..... Nawasilisha hoja !!
Kama kuna umuhimu au ulazima bhasi muoneshe hata mount Kilimanjaro.... Ziwa Victoria..... Nawasilisha hoja !!