Sasa ulizinunua za NN?Wamekosa ubunifu kabisa mm nimevunja vunja CD zote... Maana zinanijazia droo langu
Wamekosa ubunifu kabisa mm nimevunja vunja CD zote... Maana zinanijazia droo langu
Sasa si ili itoke pati one na two?Mdada anatoka sebuleni huyo hatua 1 .2 .3.4....... hadi anafungua geti gari inaingia pole pole inapaki dereva anashuka hao wanatembea hadi sebuleni hao wanawesha tv. (hiyo scene hapo wanaitumia dakika 30 - 35 )
Hahahahaaf kweli kwanini wasionyeshe jengo lolote la mkoani wanaonesha la dar (B.O.T? af kuna muvi moja ya mwanza wameonesha jengo la dar(B.O.T) akati scene iko mwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuiga kubaya.af kweli kwanini wasionyeshe jengo lolote la mkoani wanaonesha la dar (B.O.T? af kuna muvi moja ya mwanza wameonesha jengo la dar(B.O.T) akati scene iko mwanza
Unawasanua sasa...Ngoja wahamie daraja la kigamboni ss