Mzingo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 4,729 Reaction score 10,500 Aug 5, 2016 #21 Bongo movie ni sample ,inawakilisha jinsi waafrika(watanzania) wanavyofikiri ila mjue tu hata Nigeria wanalia njaa,akina Ramsey Noah wanasema movie haziwalipi. Hivyo wanatumia umaarufu wao kupata pesa indirectly kama matangazo n.k ha
Bongo movie ni sample ,inawakilisha jinsi waafrika(watanzania) wanavyofikiri ila mjue tu hata Nigeria wanalia njaa,akina Ramsey Noah wanasema movie haziwalipi. Hivyo wanatumia umaarufu wao kupata pesa indirectly kama matangazo n.k ha
Mandingo JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 4,515 Reaction score 3,948 Aug 5, 2016 #23 Mkuu sasa hivi watahamia kwenye lile daraja la mwendokasi mark my word!