Bongo Movie wamsusia Wema msiba

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
baadhi ya mastaa wa movie za kibongo wamemsusia super star wema sepetu msiba wa mdingi wake kwa madai kuwa mnyange huyo hana historia ya kuudhuria kwenye misiba ya wasanii wenzie ambao amewazidi umaarufu.inasemekana wema aliwah hudhuria kwenye msiba wa super star mwenzie na aliyewahi kuwa my number one wake marehemu Steven kanumba tu na ule wa sharo millionea huk akisusia mbali msiba wa sajuki na

ya wasanii wengine ambao hawana majina hal iliyoleta chuki na kisasi miongoni mwa baadhi ya wasanii wao bongo movie ambao walienda mbali zaidi kwa kuunda kamati na team maalumu kwa ajili ya kujibu mashambuliz ambapo walisendian msg
 
Maonyesho/maonesho.................
 
mbona lulu alikwepo
 
hawajapunguza lolote na mzee sepetu kahifadhiwa sehemu salama yatosha
 
Kazikwa tena kwa heshima, mana mwili umeanza kuagwa baraza la wakilishi kabla kwenda kanisani.

Watu kibao, njia zilikua kupita kwa shida.

So alosusa kajipatisha tabu tu, wangekua wamemsusia na akawa hana cha kuufanya mwili wa marehemu apo kweli wangemkomoa

Ukizingatia my number 1 wake kajumuika nae basi.
 
Lakini asikwambie mtu kama wewe upo kwenye fani fulani iwe ya muziki,filamu au urembo na ukapatwa na tatizo kama hilo halafu uone wenzio hawajashriki kikamilifu,lazima utaumia kama binadamu labda kama haujawah kufiwa huwez kuhis maumivu aya,kila binadamu anapenda faraja pale anapopatwa na jambo zito haswa la kufiwa na mzazi,hata wema mwenyew aliumia na ndo maana akasema wangemzika kwanza baba yake halafu mambo mengine yangefuata,inaumiza sana,ila ni suala la kujifunza tu jinsi ya kuish na watu,na siku zote maisha ni kuishi na kujifunza,japokuwa sometimes revenge si not a good option ila ndo imetokea,pole sana madame
 
Bora hawakwenda......hawakapunguza kitu chochote zaid waliongeza utulivu tu!!!!
 
Msiba haukutegemea vijiharambee vyao so sio shida hata wakimiss kama mkuu wa nchi kafika bongo muvi kitu gani??
 
Hawa bongo movie ni wajinga sana hivi kwa hiyo wanalipa ubaya kwa ubaya?

Hawa ni wapuuzi sana.
 
Jmn kabla hujakoment Anglia unachoandika ni sahihi sio mnatetea upumbavu kisa wema nani kakwambia lambilambi huwa zinazika mtu tumieni ubongo sio matope wabongo bhana ndo maana huwa tunaambiwa hatujitambui. Watu wanadic maovu ili mtu ajirekebishe nyie mnatetea ujinga tunaenda wp jmn
 
Juzi j5 tar. 30 Oct.2013 kwenye You heaaaard! ya Soudy Brown (GossipCop) wa XXL ya Clouds fm nilimsikia Soud akimhoji Steve Nyerere kama member wa Bongo Movie (nafikiri pia ni kiongozi kwenye umoja wao, sikumbuki ni kiongozi wa nini), awali Steve alijibu kawaida kuwa "hata kama sisi wengine hatukwenda lakini walikuwepo wawakilishi kama akina Wolper na wengine inatosha sio lazima twende wote, mbona mimi nilifiwa na mwanangu na hawakuja wengi na yeye pia Wema hakuja ila nilimhifadhi mwanangu kwa heshima" mwisho wa kunukuu.
Ila sasa mwishoni mwa maongezi Steve alitoa jibu la utata kidogo "ndo maisha yalivyo ukizoea kuchinja na wewe ipo siku utachinjwa so hakuna haja ya kulaumu" mi sikumwelewa kauli yake hii.
 
Shosti Asante... raha ya umbea kuusambaza..

He he he... muheshimiwa first class anagegeda Toto bichi kabisa

Wanamchafua bwana si wajua kuelekea 2015 tutaona mengi na kusikia pia.
Kama dem yupo uchi why muheshimiwa hata chuchu asishike ye anune tu haaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…