Listen guys chumo film ina ujumbe tofauti na mnavyofikiri,hiyo movie inaonyesha jinsi ambavyo mtu unavyoweza kustruggle kiuchumi,kijamii na hata kibiashara lakini hatma yake ukavurugiwa na kitu kidogo kama MALARIA kimsingi inatueleza athari za malaria.Ni kweli kabisa, film ile haiko balanced. Wakifanya evaluation kidogo wakawaonyesha watu ile film bila kuwaambia ujumbe uliokusudiwa na producers, ni wachache ambao watasema ujumbe ni malaria.
Listen guys chumo film ina ujumbe tofauti na mnavyofikiri,hiyo movie inaonyesha jinsi ambavyo mtu unavyoweza kustruggle kiuchumi,kijamii na hata kibiashara lakini hatma yake ukavurugiwa na kitu kidogo kama MALARIA kimsingi inatueleza athari za malaria.
Dah mkuu sio kiivyo, yaani kama ujumbe ni malaria ndio masaa yote tuone malaviduvi na mastruggle then baaadae mwishoni eti malaria ndio ujumbe mkubwa wa malaria,tena ni dakika chache za mwisho...kwanini isiwe malaria mwanzo mwisho??
nimecheka apa acha...bora umesema nilikua na mpango kuinunua nimeghairi