Bongo movies urojo kwa bongo flavours

kazikubwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
597
Reaction score
148
Kwa kipindi cha miaka kumi hivi sasa tumeshuhudia mahusiano ya kimapenzi kati ya wasanii wa tasnia tofauti wakipeana uroda. Lakini ukipitia kumbukumbu utagundua kuwa wanaume wa bongo flavours ndio wanaoongoza kuwapiga mikasi bongo movies. Kwa mfano:-

1. Juma nature vs Sinta
2. Mr. Nice vs Jini Kabula
3. Shemeji Diamond Vs Wema
4. Shemeji Diamond Vs Jokate
5. Nay wa Mitego Vs Nisha
6. Timbulo Vs Shilole
7. Barnabas Vs Shilole
8. Bwana Misosi Vs Amanda
9. Bushoke Vs Jini Kabula
10. H. Baba Vs Flora Mvungi N.k (Nashindwa kufikiria) kwa kizungu e.t.c ( end of my thinking capacity)

Kutokana na takwimu hizo nina maswali mengi ya kujiuliza
1. Mademu wa Bongo Movies ni maji ya mbeya au wanajigonga kwa Bongo Flavours?
2. Wanaume wa Bongo Flavours wanajua mapenzi kuliko wanaume wa Bongo Movies?
3. Wanaume wa Bongo flavours wana mahela kuliko Bongo movies?
4. Wanaume wa Bongo movies wanawahofia wanawake wa Bongo flavours?
5. Wanaume wa Bongo movies hawana sababu ya kuhangaika kwa sababu mademu wa bongo movies wapo wa
kumwaga?

Wajuzi mlio jirani na hawa vituko embu tupeni data nasi tuelewe vema.
 
Ndo maisha yao waache watavuna wanachokipanda
 
Ni mapenzi jamani bongo flever wanavutia kwanza wengi wako singo wanajiamini na malovee wanayajua swaga zao lazima madada du wa bongo movie wadondoke nao sana si swala la mkwanja jamani ni malovie dovi tu wamajua so kazi kwao na watazidi kudondoka nao ndani ya six by six upo hapo brovie
 
Si urojo wanapata wanachokihitaji jamani wanavua ustar kule wansingia ulimwengu mwingine eti urojo mambo ya nafsi hayo jamani yanahitaji mjuzi burudani iheeee upo
 
Mhmm kudonfoka ma bf ndo dhambi basi mavuno yatakuja tanzania yote me naona poa wadondoke nao tu wapeane mahaba ksma wanajua mizungu tina mizungu ya kifrica siye msondo ndindi zimo wasipotezeana mda bure ufundi wahitajika kwenye mahaba na usafi je wako njema ili wafaidi iheee apo sasa
 
Nini sasa umenisoma iheee lzm wadondoke na wawapendao joket out hana mizungu hakuna urojo wanaamua kupeana bana
 
Wana change flavour angalau wakiwa wametulia wanaimbiwa nyimbo tamu tamu
 
Sasa mahusiano yao sisi yanatuhusu nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…