BONGO:MUSICIANS NA VITU AMBAVYO WANAONGOZEA

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
DIAMOND - PESA, TUZO, MASHABIKI WENGI NA STAGE PERFOMANCE:

halina ubishi hili hapa ni diamond platnumz, king of african pop ukipenda mwite simba, hakuna msanii anayeimba na kuvuta mkwanja mrefu kama huyu, show zake ni gharama kuliko wasanii wengine, ana lebo ya wcb na wcb studio ambayo kilakukicha hutema pesa, ukija anga ya mashabiki iwe mitaani, stejini ama instagram kote kote anapendwa kuzidi msanii yeyote hii tz tukimalizia stage perfomance ama kweli hotojuta kulipia kiingilio kwenye shpw zake maana ni bonge la mtumbuizaji ....


BEN POL, KIPAJI CHA KUIMBA:

japo hafahamiki kimataifa huyu kijana ana kipaji cha kuimba ambacho mwneyezi mungu kamjalia, ila kama nafasi ya pili itatoka basi yawezekana ikawa ni ya ali kiba..


JUX-----KUTUPIA/KUPENDEZA

kila muda na kila wakati huyu msanii wetu anatoa mfano halisi wa maana ya kutupia, ukiachana na kutupia pamba pia kijana ana piga zoezi na kuufanya mwili wake uwe imara...
 

Attachments

  • benpol2.jpg
    41.5 KB · Views: 118
  • Diamonf platnumz.jpg
    110.3 KB · Views: 120
  • JUXXXXX.jpg
    32.8 KB · Views: 69
  • 10261299_1489204197962317_616707645_n.jpg
    74.4 KB · Views: 240
asante kwa taarifa Mkuu
 
hivi ali kiba mbona mnalazimisha sana kusema ana sauti nzuri kushinda watu wengi sana ambao naona hawashindi au ndio kila mtu ana maoni yake...

Unakuta topic ni sauti nzuri na uwezo wa kuimba halafu anatajwa ally kiba... sijui ni mambo ya Team.. kuna watu ukiwataja kwa uwezo wa Sauti kila mtu atakubali kina Christian Bella, Banana Zahir Zorro, Barnaba..

Mimi kwangu ally kiba hamfikii Aslay kwa uwezo wa kuimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…