"Bongo Muvi wanamwonea wivu Wema Sepetu"...Martin Kadinda

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Manager wa Wema Sepetu Martin Kadinda Amejitokeza na kusema kuwa Baadhi ya Wasanii wenzake na Wema Sepetu ndio wanao mchafua Wema mitandaoni kwa kutumia Majina Mengine kwa kile anachodai ni wivu wa maendeleo yake , kila siku wanabuni mbinu mpya ya kumchafua mitandaoni...Pia amesema wamegundua kuna Baadhi ya Marafiki zake ndio wanampiga Vijembe wema kwa kujifanya watu wengine...Wema Anapendwa na mashabiki zake sana so wanao mpiga vijembe ni hao hao Bongo Movies wasio penda Maendeleo
 

Sasa uncholalama ni nini Mr Martin ? Weye kumpenda si inatosha....na si ndio maana ukadind.a.............
 
Huyu jamaa sasa ana jiingiza kwenye upuuzi
 
bongo bwana! yani malaya ndio celebrities

siyo bongo tu ata ulaya na marekani mfano wanaoigiza porn ni maharufu sana ata uitwa white house.

angalia mfano wa Kim mchumba wa kanye west movie ya ngono ndio ilimpa chati na toka siku hiyo adi leo ni celebrity mkubwa
 
Huyu Wema mie ananishangaza sehemu moja tu!! Kwenye movie na interview zake, ni full viingereza, utafikiri kakulia kwenye English speaking country na tangu aje Bongo hana hata mwaka!! Nikaja kukoma siku ametembelewa na akina Bibi Bomba; duh....hata mbele ya akina Bibi Bomba, vi-english kwa kwenda mbele!! Ana sahau kabisa kwamba hao wanaofahamu Viingrereza wenyewe wala hawana time na movie za Kibongo....huku ni kutowatendea haki wafuasi wakuu wa movie, dada zetu wa kazi za ndani na watu wa kawaida huku Uswahilini.
 
Maaendeleo ganii aliyee nayoo yakutoaa kikojoleoo chakee icho au?
 
Wema sauti yake ndogo angeipeleka kwenye bongo fleva na si movies
 
Kile kipindi chake pale EATV mnakielewa wajameni?
 
Wema ana mafanikio gani kwani mpaka wenzie wamuonee wivu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…