Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manager wa Wema Sepetu Martin Kadinda Amejitokeza na kusema kuwa Baadhi ya Wasanii wenzake na Wema Sepetu ndio wanao mchafua Wema mitandaoni kwa kutumia Majina Mengine kwa kile anachodai ni wivu wa maendeleo yake , kila siku wanabuni mbinu mpya ya kumchafua mitandaoni...Pia amesema wamegundua kuna Baadhi ya Marafiki zake ndio wanampiga Vijembe wema kwa kujifanya watu wengine...Wema Anapendwa na mashabiki zake sana so wanao mpiga vijembe ni hao hao Bongo Movies wasio penda Maendeleo![]()
bongo bwana! yani malaya ndio celebrities
....Mr Martin ? ....na si ndio maana ukadind.a.............
Maaendeleo ganii aliyee nayoo yakutoaa kikojoleoo chakee icho au?
Waliosoma Tosamaganga Sec wanazo data za mshikaji A to Z. Acha tu.