Bongo Radio Inatafuta Watangazaji na DJs

Mkuu mpe Mwanakijiji part time kipindi cha mambo ya siasa......just a quick thought

Mwanakijiji yeye Bongo Radio ndio kwake kabisa mara nyingi huwa anatangaza kukiwa na matukio mbalimbali au habari za kisiasa.
 
Ndugu Geeque
Deadline ni lini?
Je ukiwa location yoyote ni sawa?
 
Ndugu Geeque
Deadline ni lini?
Je ukiwa location yoyote ni sawa?

Unaweza kuwa popote duniani cha muhimu ni upatikanaji wa High Speed Internet Connection. Kuna watu wanaendesha vipindi kutokea states mbalimbali hapa US na pia nje ya United States.
 
Unaweza kuwa popote duniani cha muhimu ni upatikanaji wa High Speed Internet Connection. Kuna watu wanaendesha vipindi kutokea states mbalimbali hapa US na pia nje ya United States.
Mazee niko tayari...Monday nights, nieleze nikutafute vipi tuanza kazi...
 
Mazee niko tayari...Monday nights, nieleze nikutafute vipi tuanza kazi...

Hakuna noma kabisa mazee, nimebanwa kidogo na majukumu siku hizi mbili tatu lakini kuanzia early next tutaanza mambo yote, hata sijawasiliana na wengine ambao nao wanataka kuwa na shows.
 
Kipindi cha Mapenzi na mahusiano jaribu kuwaangalia hawa;-
Belinda Jacobo
WOS
Nyamayao
Mwanajamii
 
Kipindi cha Mapenzi na mahusiano jaribu kuwaangalia hawa;-
Belinda Jacobo
WOS
Nyamayao
Mwanajamii

Oooohhh Yeaaah, Pouwaaa, lakini hivi sasa kuna Dinah ambaye anafanya mambo makubwa kwenye sekta ya Mapenzi, Mahusiano na Ngono.
 
Prime time will be the best time for me. I wanna go toe to toe with funkflex!...lol
You know, we will be dropping bombs on them.
 
Mkubwa Geeque,

Na sisi watu wa Masoko, Mabuziness na mabiashara tunaweza kushiriki?
Tungependa kupeperusha bidhaa za "Proudly Tanzanian"
 
Ah mbona umesahau classical music hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…