Elections 2010 Bongo Radio yaendesha mjadala wa Uchaguzi Live

Elections 2010 Bongo Radio yaendesha mjadala wa Uchaguzi Live

+1 312 957 6014
hii ni namba ya studio unaweza kwenda hewani
 
Tunaipata safi sana tu,is it MKJJ speaking?Kazi njema wakuu.
 
hii sauti ya shori ndio Nyani ngabu?
 
Wandugu tulikuwa tunalalamika sana miaka ya nyuma kuwa Tanzania haitangazwi..sasa tunaiona CNN tunalalamika tena, au??!!
 
tuwekeeni namba basi tujaribu kupiga na siye tutoe maoni on this defining moment...
 
ahahaahah!! ushanunua ugomvi wewe
siamini Nyani ngabu anaongea kama analia.....na huyu msela anaongea kama mtasha ndio hasheem thabeet?

anyway...hihihihihihi wazeiya naona mnapiga kelele bure ukija kwenye ground huku mavumbini watu hawakuelewi kabisa....wale wazee wa East afrika wanalala bara barani mie siwahurumii kabisaaaaa......jk aliwaita diamind jubilee akaimba mipasho kwa wafanyakazi na wao wakashangilia....shenzi kabisa...
 
kama sikosei skype yake ndio hii hapa
skype:mwanakijiji007
 
Wandugu tulikuwa tunalalamika sana miaka ya nyuma kuwa Tanzania haitangazwi..sasa tunaiona CNN tunalalamika tena, au??!!
Hakulalamika Tanzania kuonekana CNN, amekandia kutumia tangazo la biashara CNN kama fimbo ya kusema "Tanzania inaendelea, siku hizi tunaiona hata CNN"

Maendeleo ni kitu kikubwa zaidi ya matangazo ya biashara.
 
skype user name yao inaitwaje wadau?

skype:mwanakijiji007
nafikiri ndio hii ila mwanakijiji i hope atakuja mwenyewe na kuweka info zote.. mimi nilimgooogle ndio nikazipata hizi details
 
Back
Top Bottom