Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mwafrika
Wewe umepiga simu lakini?
hii sauti ya shori ndio Nyani ngabu?
tuwekeeni namba basi tujaribu kupiga na siye tutoe maoni on this defining moment...
siamini Nyani ngabu anaongea kama analia.....na huyu msela anaongea kama mtasha ndio hasheem thabeet?ahahaahah!! ushanunua ugomvi wewe
Tax avoidance is Legal, au??!!
Hakulalamika Tanzania kuonekana CNN, amekandia kutumia tangazo la biashara CNN kama fimbo ya kusema "Tanzania inaendelea, siku hizi tunaiona hata CNN"Wandugu tulikuwa tunalalamika sana miaka ya nyuma kuwa Tanzania haitangazwi..sasa tunaiona CNN tunalalamika tena, au??!!
skype user name yao inaitwaje wadau?