Bongo Sex songs

Bongo Sex songs

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Oya niwaambieni kitu Kuna nyimbo za kibongo ambazo mkiwa mnafanya mapenzi usiku zinaamsha popo sana
1.iokote-mausa sama
2.ona Sasa ona,ona Sana ona-richard mavoco
3.ninogeshe-nandy
4.kassim mganga
Hizi nyimbo Kali Sana kwenye mahusianoni anayebisha anyanyue kidole anitajie zake
 
  • Thanks
Reactions: Abx
Kainama, Harmonize
Oya niwaambieni kitu Kuna nyimbo za kibongo ambazo mkiwa mnafanya mapenzi usiku zinaamsha popo sana
1.iokote-mausa sama
2.ona Sasa ona,ona Sana ona-richard mavoco
3.ninogeshe-nandy
4.kassim mganga
Hizi nyimbo Kali Sana kwenye mahusianoni anayebisha anyanyue kidole anitajie zake

silent_ocean
 
Iko young killer toto tundu ina amsha amsha zake
Weusi naliamsha dude
Hata katika ya navy kenzo 😁
 
Attachments

Oya niwaambieni kitu Kuna nyimbo za kibongo ambazo mkiwa mnafanya mapenzi usiku zinaamsha popo sana
1.iokote-mausa sama
2.ona Sasa ona,ona Sana ona-richard mavoco
3.ninogeshe-nandy
4.kassim mganga
Hizi nyimbo Kali Sana kwenye mahusianoni anayebisha anyanyue kidole anitajie zake
Bila kwangwaru hiyo orodha ni batili

A Philanthropist&£conomist.
 
1. Mamsapu - Hard Blasters Crew ft Nigger J
2. Sonia - Juma Nature
3. Nampenda - Mike T ft Nature
4. Rashia - Wachuja Nafaka
5. Julietha - Dully Sykes
6. Bembeleza - Marlaw
7. Mpenzi - Dudubaya
8. Nipe Nikupe - At ft Prezoo
9. She Gotta Gwan - Ngwair
10. Nipigie - Stara Thomas

Hapo ni kwa Bongo Fleva.
 
Ina maana kumbe vumbi la Congo siku hizi haliamshi tena dude? Ngoja na mimi nisikilize hizo nyimbo inaweza ikawa dawa.

]Kupata hakuna kudogo
 
Oya niwaambieni kitu Kuna nyimbo za kibongo ambazo mkiwa mnafanya mapenzi usiku zinaamsha popo sana
1.iokote-mausa sama
2.ona Sasa ona,ona Sana ona-richard mavoco
3.ninogeshe-nandy
4.kassim mganga
Hizi nyimbo Kali Sana kwenye mahusianoni anayebisha anyanyue kidole anitajie zake
Bongo sexy songs.
 
Back
Top Bottom