Bongo Star Seach Winners Where are they NOW?

FOEL

Senior Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
141
Reaction score
34
Washindi wa shindano la Bongo Star Search tangu lilipoanza mpaka sasa wako wapi na wana fanya nini?..
 
Kuna yule J4 nasikia sasa ni tax driver, mbagala..wengine kina msechu na baby madaha wapowapo tu wanauza chai.
 
Kati ya mashindano ambayo wanapoteza muda na resource ni hili....ni bora ile pesa wanayowekeza pale wangetumia kuibua biashara nyingine...wengi wa hawa washindi wanavuta bangi vijiweni.....kuanzia na Jumanne..!!
 
Washindi wa shindano la Bongo Star Search tangu lilipoanza mpaka sasa wako wapi na wana fanya nini?..

Leah Muddy anendesha bendi inaitwa Q Band, Msechu kazi zake zinaonekana, na hata Baby Madaha keshafanya shughuli nyingi za kisanii. Ukiamua kufanya utafiti badala ya umbeya utakuta asilimia kubwa wako kwenye sanaa kwa namna moja au nyingine.
 
Sasa haya mambo ya umbeya yanatoka wapi wakati mimi nimeuliza swali ili nijue kwa sasa wako wapi na kipi wanafanya, huo utafiti unafanywa vipi bila kuuliza, kama nilivyofanya?,,
 
M2 wangu hivyo ni vipaji vya kulazimisha so wanashindwa kusonga mbele.
 
kuna tofauti ya Winner na runners-up,wengi wanachangia runner-up!!

Navyojua mimi winners ni J4,Pascal wa magu aliyefulia.
 
Sasa haya mambo ya umbeya yanatoka wapi wakati mimi nimeuliza swali ili nijue kwa sasa wako wapi na kipi wanafanya, huo utafiti unafanywa vipi bila kuuliza, kama nilivyofanya?,,

quality without compromise......!
 
Washindi wenyewe wamepangwa.....wanapoteza muda tu bora hizo hela wangewasaidia yatima
 
wapi misoji nkwabiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Lbda tatizo ni vipaji vinavyotafutwa! Kujua kuimba na ktunga nyimbo ni vitu tofauti! Mtu kama Pascal alikuwa muimba kwaya hivyo kuimba na kupangilia sauti haikuwa kazi ngumu ila sasa linapokuja swala la kutunga nyimbo bnafsi ndo wengi wamefeli! Labda mwanzo mwisho wengeshindania utunzi wa nyimbo zao ila kupata mshindi sitahiki.......
 
Pascal Kasian anagongea fegi kwao Magu.
 
Washindi wa shindano la Bongo Star Search tangu lilipoanza mpaka sasa wako wapi na wana fanya nini?..
wanapewa u-star kabla hawajawa ma-star, maisha yana washinda then nature inawaselect wanapotea...
 
Back
Top Bottom