kuna jamaa mmoja niliwahi kumsikia alikuwa anaimba sauti unique and he was creative kusema kweli, lakini judge mmoja (master j)alimpotezea akamwambia kwa saili ile asingeweza kuuza bongo, master j anashani wote tunapenda bongo fleva kama yeye, unategemea nini hapo.