Iteitei Lya Kitee
JF-Expert Member
- Jan 2, 2008
- 586
- 47
Bongo Star Search,show moja ya kisanii inayotengeneza wasanii wasiokua wasanii!!BSS ni nini?
Mama Benchmark naona inakula kwake,Airtel wamejitoa kwenye udhamini wa show hii.Inasemekana wao walikua wanatoa udhamini kiasi kama 255million kwa ajili ya show hii.Benchmark wamekimbilia mahakamani.
mmh mafuta pia hakuna jamani,msiendeshe kwa fujo!!

Tigo si wamedakia tu!!Uchakachuzi wa ela mamdogo WOWOWO upo tena mkubwa!!Mbona inarushwa kila siku Jumamosi saa 3 Usiku kupitia ITV na inafanya vizuri chini ya udhamini wa tiGO?Mkuu fuatilia kwanza kabla hujapos thread.