samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 213
ya Dr Slaa yameingiaje huku na wewe!Mimi nawaasa msipige kelele kama hammkubali mzungu pigeni kura nyingi kwa mbongo mnayewaza atashida...Tatizo la wabongo kulalamika tu halafu hawapigi kura... yale yale ya dokta slaa...watu wanaacha kupiga kura wakiamini kuwa hatashinda japo wanampenda! Come on!!!!!!!!!11
hahahaha, asivae matiti yapo nje. hata kanisani au ofisini akienda hivyo atafukuzwa kazi, lkn itv wanaruhusu uchafu kama huo