Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
tanzania sio ulaya ndio maana hata ukimpiga busu mwanamke hadharani ni kosa, kufanya tendo la ndoa hadaharni ni kosa. kuruhusu itv kutuonyesha yule mama alivyova kama yupo beach ni hatari, inaonyesha maadili zero hapo
nenda posta halafu mbusu mwanamke mbele ya jamii. kama hutaozea jela
Kwa wale wanaofuatilia BSS 2010 live on ITV, Yule Mzungu alipomaliza kuimba alipewa nafasi Salam kutoa judgement akasema Mzungu akishinda BSS 2010 atajipiga risasi.Hii ni dharau kubwa sana na hata kama ni mzungu TZ hatuna ubaguzi wa namna hii.Imenisikitisha sana.Tumpigie mzungu kwa wingi ili tuone atakavyojiua.Tuma BSS 07 KWENDA 15550
may be mshindi wanamjua ndo maana kasema hivyo
Yaani!! Mimi mwenyewe nita jiunga na salama sema sita jiua, ila kesho sitakula mchana tu.