Bongo Star Search (BSS) na mshindi mzungu!!

Nilidhani salama ktangaza kujiua aispoteuliwa ukuu wa wilaya

Kumbe thread imekosehswa njia na kuletwa kwenye politics

Hivi salama ni mwanachama wa chama gani ?
 
Watafanya kosa kubwa kumpa mzungu wakati hana work permit kwa kazi hii. Zengwe limejengwa kwa Salum wakamtoa!
 
This iz vere unprofesheno.
master j kama jaji anamfananisha msanii eti hana mvuto wa kisanii na akimuona ni kama anamuona mfungua geti nyumbani kwake
 
jamani tujaribu kua serious, mi na wengine tunazaidi ya miaka 5,hatuion hiyo itv,sasa hayo mambo ya bongo star search yanatuhusu nini kwenye jukwaa la siasa? Hii ni sehem ya maambo muhim ya kujenga nchi. Kuhusu huyo salama,simpendi kwakua hana maadili.
 
Bora Mzungu kamwagwa kwanini hata vigezo vya Utanzania vinachezewa? Mzungu wanini Bongo? Na ile ya mwakani itakuwa na wachina !
 
hahahaha, asivae matiti yapo nje. hata kanisani au ofisini akienda hivyo atafukuzwa kazi, lkn itv wanaruhusu uchafu kama huo

Kaka vazi la usiku hilo sio la kuendea kanisani wala ofisini acha kuzeeka vibaya
 
Jamani huyu mzungu ni noma atächukua hio ml 30, ngoja tuone
 
jamani sijui ni masikio yangu au ni kitu gani....master jay kasema sisi watanzania ni washamba shauri tunamshangaa mzungu kuimba kiswahili?....au nimelewa>
 
Nisichopenda kuhusu majaji ni kuanza kuatack washiriki badala ya kutoa komenti kwa alichoimba
 
Mzungu yuko makini anaposikiliza majaji wakinena jambo hii inaonesha yuko kikazi zaidi!
 

Watendaji wa JF hebu tafadhali toeni hii habari ktk jukwaa hili.
Tafadhali sana coz kama mtu atashindwa kupeleka thread mahali husika atakuwa anayataka matusi yangu ambayo huwa natoa mapya kila siku...

So plz
 
Mkuu kwa hilo siko na wewe. kapendeza na ni vazi la usiku na pia linaendana na hapo alipo.
 

Watendaji wa JF hebu tafadhali toeni hii habari ktk jukwaa hili.
Tafadhali sana coz kama mtu atashindwa kupeleka thread mahali husika atakuwa anayataka matusi yangu ambayo huwa natoa mapya kila siku...
Hili ni jukwaa la siasa na huyo Salama sidhani kama ni mwanasiasa.


So plz toa huu ushuzi hapa
 
huyu mzungu siyo member wa humu jf ze dick?
 

nampenda salama ila sipendi namna anavyofikisha comments zake kwa hao undergrounds.

Halafu wewe mkombozi usifanye kitu ila kumkomoa mtu.
 

watukane tu. Wanaona jukwaa la siasa ndo linachangiwa sana.
Watakunywa mkojo wakizani juice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…