Bongo star search imekosa mvuto

kitaruo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2018
Posts
200
Reaction score
163
Kama ilivyo mada hapo juu. Mm sio msanii na sio mpenz wa sanaa lakin ni mshabiki


Mtakubaliana na mm kuwa, tangu kuanzishwa kwa bongo starsearch waliofanikiwa,wengi mfano harmonize, walishindwa kupita kwenye ngaz mbalimbali kwenye shindano hilo.

hata na hivyo shindano lipo kaslahi kwan walio wengi haswa walioshinda shindano hilo pesa hazionekan wamefanyia nn? Ni dhahir kwamba pesa hizo ni kidogo kukizi mafanikio. Kwan wananchi tunajua million hamsin, kiwango halisi wanacho cotenstant kwenye bongo zao.
 
Kuna ile tena inaitwa Fiesta viewer wamefika 100 per mkoa
 
Me napenda vituko vya watu tu huko...kuhamishia matangazo yao startimes tena st Swahili nahisi kutapunguza views kwa kiasi fulani
 
Me napenda vituko vya watu tu huko...kuhamishia matangazo yao startimes tena st Swahili nahisi kutapunguza views kwa kiasi fulani
Hili ndo wamebugi nadhani madam kakosa mtaji sasa kitu kingine waongeze dau kwa mshindi ifike ata 200 hii kitu imesha athiliwa na michezo hiyo ya kubahatisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…