Bongo Tu Ndio Taulo Linakua Nongwa

tz tunafanya mambo kwa dhanadhana, ukishakuwa na fikra potofu kila litakalo tokea unalipeleka kulele mpaka elim kama hii itolewe japo pia ngum kuelewa maana wengi wapo kilajambo ni no kisa limetoka upande wapili

binafsi nilifikiri waamuzi na mashabiki wanaozuia mataulo hawaangalii mechi za nje ya tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…