Kipindi nasoma primary ndoto zetu zilikuwa ni kuzamia meri maana kulikuwa na mastolo away kibao Enzi hizo.. So ni sawa na Hawa wasomali na waethiopia kipindi hiki Tabia za binadamu zinafafana tu. Sikuhizi huwezi zsmia meri CCTV cameras kola kona utashikwa zamani hazikiwepo... Meri za kuzamia zilikuwa za waturuki ila wakikunasa wanakupa Kazi baadae wakawa wanawala kiboga na kuwatosa baharini kuna Wa bongo waliweza kusurvive wakaja kuhadithia story... Ukakamavu na unyoronyoro ni maamuzi tu mleta Mada hakika ni mzembe Fulani...