Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Huyu mzalendo anajua kuhamasisha,anaujua na kuupenda mpira analeta hamasa ndani na nje ya uwanja hana matusi na anafurahisha
Angalia kati ya watanzania walioenda misiri kuwasapoti wachezaji wetu wanaishia kwenye mapiramidi tu kazi ya kushangilia wanamuachia bongo Zozo
Huyu akiwa afsa habari wa Simba timu itakusanya mashabiki lukuki ndani na nje ya Tanzania
Mr Bongo zozo mzalendo kabisa