Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Yule napendekeza awe msemaji wa timu ya taifa
positive ya mabirianiJamaa yupo positive sana anafaa kuwa afsa habari wa Simba au Taifa stars
Mbona Simba tayari ina afisa habari wake?Huyu akiwa afsa habari wa Simba timu itakusanya mashabiki lukuki ndani na nje ya Tanzania
Huu ni udhalilishaji...
Members wa CHAPUA ( chama cha punyeto Africa) huyu mtu ana kadi namba ngapi?