Bongofleva: 5 Biggest Losers and Winners

Matonya alitakiwa awepo qchief walisumbua Sana na Sam wa ukweli sijui kapotelea wapi
Matonya na q chief wanastahili 'honorable' mention, lakini Sam wa Ukweli alikuwa wa kuwaida sana hakuleta impact yoyote kwenye industry! Alibahatisha vinyimbo viwili tu..
 
Umesahau ngoma ya dudu baya mwanangu huna nidhamu
 
Mb dogg
daz nundaz
bushoke

nawakumbuka sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
nani waliimba kama daz nundaz
 
tru dat, vp mkuu mbona kimya sana huleti stori kali km za akina sparriaggi? fanya hivo mkuu
 
Honorable :avy Kenzo
 

Haisee nadhan mr.nice una kabifu nae ka chinchini....yaani kila akitajwa tu unampa bonge la mjiwe wa kichwa.....huyu kweli ni the best loooooseer!!!!
 
Matonya na q chief wanastahili 'honorable' mention, lakini Sam wa Ukweli alikuwa wa kuwaida sana hakuleta impact yoyote kwenye industry! Alibahatisha vinyimbo viwili tu..
Mkuu kwa heshima na taa waka nakuomba utambue rasmi uwezo wa chilla enzi zake mpaka sasa,jamaa ni big looser mtoe marlaw hamfikii chilla kuwa looser.
 
Hiyo list ya looser nafasi ya dudu baya alitakiwa akae Mb-dogy, dudu hajawahi sumbua zaid ya kuotea ile ngoma ya nakupenda. Maoni tu
Jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,dudu alisumbua sana kabla hats ya hiyo ngoma,na moja ya nyimbo Kali iliyosimbua kipindi kile ni ile yupo na sister P na dogo amidu sijui wa kundi lake la dar skendo,nyimbo ilikuwainda kwa jina la kunguru hafugiki kwa kweli kwa kipindi kile dudu alisumbua sana namkumbuka vizuri sana huyu mtu
 
TID Cjamuona Wakuu... Huyu jamaa sielewagi tu nini shida coz alikuwa na kila sababu Ya kufanya vizur
 
Honorable Mentions
- Weusi
- Mwana FA
- Nay wa Mitego
- Shetta
- Ommy dimpoz
Unamuachaje Matonya, Matonya kunakipindi kila akitoa nyimbo ilikua wimbo wa Taifa, Vaileti, Anitha, mpaka kipindi kile akawa anatamba kumjengea nyumba mama yake, mara kujenga bwawa la kuogelea mama yake halikua hakai Tanzania
 
Dully Sykes yupo kundi gani hapo? Na Lil Sama (blue).. Muziki wa bongo flavour una wenyewe jamani...
Nafikiri hili swala ungejipanga upya, Labda kama mziki umeanza kusikiliza juzi.

Gracias
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…