emailpassword
Member
- Jun 15, 2017
- 99
- 92
Sote tunafahamu Hollywood wanamji wao ambao wanakaa mastaa movies, music nk mitaa ya Beveryhill huko nk. Kuna kipindi mastaa wabongo pia waliwahi pewa eneo wajenge. Iliishia wapi hiyo mana tumechoka kuwaona daily mitaa tunayokaa nao, tunawachoka vijiweni. Raha ya staa usionekane Mara kwa Mara bhana watu wasikuzoee japo hatusemi usiwe social.