Bongowood iliishia wapi?

emailpassword

Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
99
Reaction score
92
Sote tunafahamu Hollywood wanamji wao ambao wanakaa mastaa movies, music nk mitaa ya Beveryhill huko nk. Kuna kipindi mastaa wabongo pia waliwahi pewa eneo wajenge. Iliishia wapi hiyo mana tumechoka kuwaona daily mitaa tunayokaa nao, tunawachoka vijiweni. Raha ya staa usionekane Mara kwa Mara bhana watu wasikuzoee japo hatusemi usiwe social.
 
Unaulizia nini hasa?! Bongowood au kijiji cha wasanii?! Kama ni kijiji cha wasanii, hadi kesho kipo kipo; baadhi wamejenga vibanda vyao na baadhi bado...!! Nenda Mkuranga na utakikuta!!!
 
Bongowood ya Tz ni mwananyamala, kwamtogole, tandika, manzese, mburahati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…