Pre GE2025 Boni Yai aunga mkono jitihada za Lissu na CHADEMA, atinga kwenye Uzinduzi wa Mkakati wa Kidigitali 'Tone Tone'

Pre GE2025 Boni Yai aunga mkono jitihada za Lissu na CHADEMA, atinga kwenye Uzinduzi wa Mkakati wa Kidigitali 'Tone Tone'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Maajabu haya, leo boni yai bosi wake ni Godbless Lema aliemfanyia fitina kwa maelekezo ya Mbowe mpaka Lema akajitoa kwenye uchaguzi wa kanda ya kaskazini?
 
Yale machawa punguani ya CCM yatazidi kuchanganyikiwa, maana kila walochotarajia kitatokea, hakitokei.

Walitarajia baada ya uchaguzi, kuna kundi kubwa la viongozi wa CHADEMA litatimkia CCM, mpaka sasa, hawajaambulia hata mmoja.

Hongera Boniyai, endelea kuyadhalilisha machawa punguani ya CCM.

CHADEMA imejaa watu wenye akili, hakuna wa kwenda CCM.
 
Back
Top Bottom