Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mbona anaonekana hana furaha?Boniface Jacob (Boni Yai) ni mmoja ya waliotokea kwenye tukio la uzinduzi wa mkakati maalumu wa Kidigitali 'Tone Tone' wa kuwezesha CHADEMA kupata fedha za kuendeshea shughuli za Chama.
View attachment 3252347
Na DJ Mbowe yuko wapi bibi?Bonny hajawahi kurudi nyuma
Unafki unaumbua eeeh.... Cheki ulivyoumbuka Mkuu.... jana furaha ndio kuku gani huyoMbona anaonekana jana furaha?
Meseji umelipata. Hana furaha! Period!Unafki unaumbua eeeh.... Cheki ulivyoumbuka Mkuu.... jana furaha ndio kuku gani huyo
MORALI HAKUNA , NI KWAMBA MTU YUPO UPO PALE LAKINI MOYO NA ROHO VIKO MBALI!Boniface Jacob (Boni Yai) ni mmoja ya waliotokea kwenye tukio la uzinduzi wa mkakati maalumu wa Kidigitali 'Tone Tone' wa kuwezesha CHADEMA kupata fedha za kuendeshea shughuli za Chama.
Fuatilia Uzinduzi hapa: CHADEMA wanazindua mkakati maalum wa kidigitali tone tone usiku huu, Februari 27, 2025
View attachment 3252347
Ulikuwepo?Meseji umelipata. Hana furaha! Period!
Hahah umetumia kipimo gani kujua hayo mwenzetu?Mbona anaonekana hana furaha?
CHADEMA Wana harufu ya Udini sanaBoniface Jacob (Boni Yai) ni mmoja ya waliotokea kwenye tukio la uzinduzi wa mkakati maalumu wa Kidigitali 'Tone Tone' wa kuwezesha CHADEMA kupata fedha za kuendeshea shughuli za Chama.
Fuatilia Uzinduzi hapa: CHADEMA wanazindua mkakati maalum wa kidigitali tone tone usiku huu, Februari 27, 2025
View attachment 3252347
Mbona anaonekana hana furaha?
unataka kumwona akiwa anacheza singeli auMbona anaonekana hana furaha?