Hako kachama Bado kanaendeshwa kama kikoba na Mali ya watu ,huko huna uhuru wa maoni tofauti na ya viongozi wao vibarakaSasa hao Sidiemu mbona nao wanakosa uvumilivu wa kisiasa?
Mtu kutuma picha ya vitenge tu, tayari shwaa mnamwona msaliti?
Mbona changamoto sana hii.
Kwako Lucas mwangomola & ChoiceVariable
Aiseee, ni aibu ya mwaka hii! Bora Boni amejitokeza hadharani! CCM yameshindwa siasa! Hayana mikakati ya maana!Sio tu aibu ni Kinyaa kabisa
Na bado wanakuongoza!!Aiseee, ni aibu ya mwaka hii! Bora Boni amejitokeza hadharani! CCM yameshindwa siasa! Hayana mikakati ya maana!
Mkuu, kuna kada fulani alienda mahakamani kupinga chamani kwake mchakato wa uwepo fomu moja ya uraisi - naye shwaa amenyofolewa!Hako kachama Bado kanaendeshwa kama kikoba na Mali ya watu ,huko huna uhuru wa maoni tofauti na ya viongozi wao vibaraka
Yule alikuwa anapinga utamaduni rasmi wa Chama kwamba awamu ya pili Rais hashindanishwi Sasa huyo ana maana gani?Mkuu, kuna kada fulani alienda mahakamani kupinga chamani kwake mchakato wa uwepo fomu moja ya uraisi - naye shwaa amenyofolewa!
Umewahi kusikia hilo?
Aisee unaumwa sema unajikaza tuYule alikuwa anapinga utamaduni rasmi wa Chama kwamba awamu ya pili Rais hashindanishwi Sasa huyo ana maana gani?
Mchaga na ndururu havijawahi kuachana.Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob amesema tuhuma zilizotolewa na miongoni mwa wanachama wa chama hicho aliyesema ametolewa kwenye group la kamati kuu(Devotha Minja) kuwa ni kwa sababu anatengwa sio za kweli.
Boniface ameeleza hayo leo Mei 18, na kueleza kuwa mtu huyo alituma mfano ‘sample’ za vitenge vya Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA) jambo ambalo waliona sio mwenzao.
Hata hivyo amesema barua ya msajili juu ya kuwasimamisha uongozi viongozi wa chama hicho kutokana na kutokukamilka kwa akidi ya Baraza Kuu mtu huyo alituma taarifa haraka sana jambo lililowashangaza na kuongeza mashaka kwake.
Wewe umepona?Aisee unaumwa sema unajikaza tu