johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kabisa MkuuKumyima dhamana Dr. Slaa sio uungwana ati kasambaza uongo mbona wao Ilani yao nzima ni sounding tu?!.
Mwambieni Lissu mkakinukish hapo kituoni! Tena mwambieni itamuongezea sifa sana kwenye uchaguzi kwamba hana kurembaremba! Ahahahahaha!!!Kumyima dhamana Dr. Slaa sio uungwana, ati kasambaza uongo mbona wao Ilani yao nzima ni sounding tu?!. "Maji kwa wote ifikapo mwaka 2000" sio uongo huo?!
Jopo la Wanasheria linamshughulikia Dr. Slaa dhamana iko wazi by monday next week tutakuwa naye na atazidi kuunguruma na kutumia haki yake ya Kikatiba ya freedom of Speech kama raia wa jamhuri hii.Mwambieni Lissu mkakinukish hapo kituoni!
Kumbe mnatambua nchi hii ina utawala kisheria sio?Jopo la Wanasheria linamshughulikia Dr. Slaa dhamana iko wazi by monday next week tutakuwa naye na atazidi kuunguruma na kutumia haki yake ya Kikatiba ya freedom of Speech kama raia wa jamhuri hii.
Kama lengo lenu ni kumkomoa basi brace yourselves...
Miccm ndio baba wa uongo nchi hii!! Ila kwakuwa wanawategemea policcm, wanajiona wako juu ya sheria.Kumyima dhamana Dr. Slaa sio uungwana, ati kasambaza uongo mbona wao Ilani yao nzima ni sounding tu?!. "Maji kwa wote ifikapo mwaka 2000" sio uongo huo?!
Familia ya Mzee Ali Kibao ndio inaweza kusema iwapo Nchi hii inautawala wa kisheria au la.Kumbe mnatambua nchi hii ina utawala kisheria sio?
Mbowe: Maaskofu Watatu na Mufti walinufata gerezaniKumbe mnatambua nchi hii ina utawala kisheria sio?
Sasa kwanini mnasubiri Jumatatu kwenda kumuwekea dhamana mahakamani? Si Lissu awaongoze mkakinukishe? Au ndiyo yaleyale ya keyboard warriors! Wajinga sana nyie!Familia ya Mzee Ali Kibao ndio inaweza kusema iwapo Nchi hii inautawala wa kisheria au la.
Kwamba Dr. Slaa kanyimwa dhamana kwa ajili ya usalama wake asije akashambuliwa na "Wasiojulikana".
Mbowe is a humble person.Mbowe: Maaskofu Watatu na Mufti walinufata gerezani
ππππnowe
Kwani rais na ccm wako juu ya sheria ?Kumbe mnatambua nchi hii ina utawala kisheria sio?
Hiyo sasa ndio tunaita kububujikwa kwa machozi. Yaani Boni Yai amebubujikwa na machozi, ha ha haπ...Boni Yai Amelia sana kwa Dr Slaa kuwekwa mahabusu...
Nani kasema hivyo? Lissu?Kwani rais na ccm wako juu ya sheria ?
Ninyi mnaowatoa watu magereza usiku na kwenda kuwapa ubunge wa vitu maalumu chadema ili kujustify wizi wenu wa kura kweli mnafuata sheria?!Sasa kwanini mnasubiri Jumatatu kwenda kumuwekea dhamana mahakamani? Si Lissu awaongoze mkakinukishe? Au ndiyo yaleyale ya keyboard warriors! Wajinga sana nyie!