Bila shaka andiko lake aliyekuwa mstahiki huyo linawahusu pia mwamba na chawa wake hasa waliosikika kuserebuka.
Anaandika mstahiki meya huyo wa enzi hizo:
"'judicial manoeuvre' ni kitendo cha kutumia mbinu chafu ndani ya Mahakama ili Kumkomoa, Kumtisha au kudhulumu haki ya mtu.
Michezo michafu ya hati za Kuzuia dhamana yalianza Kwa Kombo Mbwana Twaha, Yakaja Kwangu sasa tunayaona kwa Dr.Slaa.Tukatae
Kwa Lugha nyepesi ni vitendo vya Kihuni kwa kutumia muhimili wa Mahakama vinavyofanywa na vyombo vya dola pale vinapo kosa uadilifu.
Binafsi hata kama Dr.Slaa angekuwa na maoni yake binafsi kwa lugha ya namna yeyote hakupaswa kufanyiwa kitendo cha kihuni cha Kunyimwa dhamana kinyume na sheria.
Uhuni ni uleule,ataitwa Jumatatu watajifanya hawawezi kutoa uamuzi siku hiyo ,watahairisha hadi siku nyingine ili kumkomoa asote Jela.
Sisi Vijana tunaweza kuhimili vitendo vyao vya kihuni lakini inauma nikiona Mtu mzima kama Dr.Slaa ambaye hata afya yake haiko sawa anateswa kihuni kinyume na sheria.
N.B
Jana kabla ya Kikao cha Kamati Kuu nilienda Kituo cha Polisi Mbweni kumtembelea Dr.Slaa baada ya Kusikia kakamatwa,kwa bahati mbaya walinijibu ameondolewa ktk kituo chao.
Dr. Slaa ni mtu mwema sana,mimi na Malisa tulipokamatwa tulipelekwa mahabusu ya Mbweni kwa siku 3,na siku zote 3 Dr.Slaa alikuwa anatuletea Chai ya maziwa na Chapati kabla hata familia zetu na Makamanada wa CHADEMA hawajafika.
Vyombo vya Dola hususani Jeshi la Polisi linatumia minyukano yetu na mgawanyiko kama sehemu ya Kushughulika na baadhi yetu wakiamini hatupo pamoja.tarehe 26 December Polisi walivamia nyumbani kwangu wakaweka kambi nje ya geti wakiamini hatuna Umoja tena.
Say No to Injustice #FreeDrslaaNow."
-----------
Mwisho wa kumnukuu.